Baadhi ya
Wafanyakazi wa Benki ya Nmb Tawi la Dodoma wakiwa kwenye uzinduzi wa
maadhimisho ya wiki ya Mteja (picha nyingine wakiwa na mgeni rasmi Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma Christina Mndeme)
Kaimu
meneja Nmb Tawi la Dodoma Benedict Urasa akizungumza wakati wa kabla ya
uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ilifanyika ukumbi wa benki
hiyo Dodoma
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Cristina
Mndeme akilishana keki na meneja wa Kanda ya Kati wa benki ya Nmb Straton
Chilongola kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Wateja
ilifanyika katika ukumbi wa benki hiyo mjini Dodoma leo
Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma Cristina Mndeme akizungumza kwenye uzinduzi wa wiki ya Huduma
kwa wateja
No comments :
Post a Comment