Mtaalam
wa Haki za Watoto toka Shirika lisilo la Kiserikali, Save the Children Tanzania
Bi. Neema Bwaira akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya
Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya
Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba
Tarime, Mkoani Mara. Kulia ni Mkurugenzi
Msaidizi Maendeleo ya Familia toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Bibi. Rose Minja.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai akielezea jambo wakati wa kikao na
Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto
wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika
lisilo la Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic
Mwakilishi
kutoka asasi ya kiraia ya CAMFED Bi. Theresia Moyo akielezea jambo mbele ya
Wahariri wa Habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa
kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kutoka kulia ni Mwezeshaji wa
Kitaifa toka Taasisi ya Tanzania Girl Guides Bi. Emiliana Stanslaus na
Mwakilishi wa Room to Read Bi. Rachel Mbushi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai akielezea jambo wakati wa kikao na
Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto
wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika
lisilo la Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic
Afisa
Habari wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara
kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bw. Anthony Ishengoma akisisitiza jambo wakati wa
kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa
kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime,
Mkoani Mara.
Mhariri wa Habari kutoka kituo cha televisheni
cha Channel Ten Bibi. Esther Zelamula akichangia mada wakati wa wa kikao na
Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya
Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe
11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara
.(PICHA
NA: MPIGA PICHA WETU).
No comments :
Post a Comment