Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar
Dk Khalid Salum Mohammed akifungua Mkutano wa 34 wa Nchi za Mashariki na
Kusini Mwa Afrika (17th ESAAMLG Council of Ministers and 34th Task
Force Senior Officials Meetings Zanzibar Beach Resort Zanzibar’)
kuhusiana na kudhubiti Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za
Mashariki na Kusini Mwa Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kushirikisha Nchi 18 za
ukanda huo Mkutano hu utakuwa wa Siku wa siku tano hadi tarehe 8 mwezi
huu.
Waziri wa Fedha na Mipango akihutubia
wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa kimataifa unaofanyika katika ukumbi
wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha
Wadau wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofunguliwa leo
hadi tarehe 8/9/2017.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia hutuba
ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed
akifungua mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mazizini Zanzibar.
Wajumbe wa mkutano huo kutoka Tanzania
wakifuatilia ufunguzi huo wa Mkutano wa 34 wa ESAAMLG unaofanyika katka
ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Mirirai
Chirambe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika
Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia
hutuba ya ufunguzi ikitolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nchini
Lusotho Ms. Teboho Mukela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo
wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia mkakati wa
kupiga vita Utakatishaji wa Fedha Haramu unaofanyika Zanzibar katika
ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Resort Mazizini.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kupambana
na Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa
Afrika, Dr Elianonye Kisanga, akizungumza wakati wa mkutano huo
unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini
Zanzibar. unaowakilisha na Nchi 18 za ukanda huo. akitowa maelezo ya
Ajenda ya mkutano huo kwa wajumbe baada ya kufunguliwa na Waziri wa
Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed.
Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar
Dk Khalid Salum Mohammed akiwa na viongozi wa meza kuu wakifuatilia
maelezo ya Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Dr. Kisanga, akitowa maelezo
baada ya uzinduzi huo.
Wajumbe wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano
huo nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuufungua leo asubuhi.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed akizungumza na waandishi wa habari baada ya hafla
ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
zanzibar beach resort mazizini zanzibar.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Kudhibiti
Utakasishaji wa Fedha Haramu kwa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
Dr. Kisanga akizungumza na waandishi wa habari madhumuhi wa mkutano huo
na mikakati yake katika kudhibiti na kupambana na utakasishaji wa Fedha
Haramu na udaidi.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.com.
Email. othmanmaulid@gmail.com.
Zanzinews.com.
No comments :
Post a Comment