Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Charles Mwijage akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini India katika
mkutano wa pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili, kulia ni
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji Aristides Mbwasi.
Waandishi wa habari wakimsikiliza
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto)
wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini India katika mkutano wa
pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.
Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO
No comments :
Post a Comment