Mkurugenzi wa Utangazaji wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Frederick Ntobi akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya matumizi ya vyombo vya habari
Mtandaoni (Online Media) iliyowashirikisha wanachama wa Tanzania
Bloggers Network (TBN), kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA wakihudhuria warsha hiyo
Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku mojaMwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu. Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.
Mablogga wakiwa makinini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele, Adam Mzee na Dotto Mwaibale
No comments :
Post a Comment