Wednesday, September 13, 2017

BREAKING NEWS;DAVID MATAKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 6 JELA


ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania, (ATC), Bw. David Mataka na mwenzake mmoja wamehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela au kulipa faini ya shilingi Milioni 35 kila mmoja.
Uamuzi huo umetolewa na Mhakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 13, 2017 ambapo mwenzake ni aliyekuwa Afisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha cha ATCL, Bw.Elisaph Mathew.
Mahakama hiyo pia imemuachia huru aliyekuwa Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za ndani (Internal auditor) wa ATCL, Bw.Wiliam Haji.

No comments :

Post a Comment