
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan
Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian
Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria
ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo
inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The
Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan
Abbasi na Meneja wa Sheria na Uhusiano
wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo (kulia)
wakionyesha Leseni ya machapisho
aliyotolewa kwaa ajili ya gazeti la Nipashe mara baada ya kukabidhiwa leo
Jijini Dar es Salaam.Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio wa wamiliki wa
machapisho kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016
kifunga namba
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan
Abbasi, (katikati), akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa
Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa
utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu
kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili
Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni
hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The
Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa
Letu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi
akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel
Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya
Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki
magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian
On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mhariri
Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na
Uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni 10 za
machapisho yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa Leseni kumi za
machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kampuni
hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The
Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na
Taifa Letu.(PICHA NA: IDARA YA HABARI – MAELEZO)




No comments :
Post a Comment