Washington,
DC — The global trade environment is rapidly changing and already
affecting the U.S.-Africa trade relationship. Indeed, the African Growth
and Opportunity Act (AGOA) was not intended
Pages
Saturday, September 30, 2017
Africa: Post-AGOA - Moving to a Reciprocal US-Africa Trade Arrangement
Blog
By Witney Schneidman and Moyombuya Ngubula
Tanzania Ready for Phase Two of SGR From Morogoro to Dodoma
Photo: Daily News
By Apolinari Tairo
The
Tanzanian government will soon launch the second phase of the
construction of the standard gauge railway (SGR) line to link the
commercial city of Dar es Salaam with the capital of Dodoma.
Tanzania: #WhatWouldMagufuliDo? We're Just Finding Out
Photo: allafrica.com
analysis
By Simon Allison
There
was a time in late 2015 and early 2016 - when Tanzania's President John
Magufuli had only just been elected - that the man they call 'The
Bulldozer' could do no wrong.
Tanzania: Uncertainty Clouds Tanzania Gas Investment As Low Prices Persist
Photo: The Citizen
By Allan Olingo
The
recent downturn in the oil and gas world market has made potential
investment in Tanzania's gas sector uncertain, decreasing the likelihood
that gas will have a major impact on the country's economic growth in
the near future.
UFUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA UINGIZAJI MAFUTA WA PAMOJA WAFANYIKA ZANZIBAR.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akitoa hotuba ya
Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibarkwa
miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Baadhi ya Wawakilishi wa
Makampuni yalioomba zabuni ya Uingizaji Mafuta wakijitambulisha katika
Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibar kwa
miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji katikati akionesha
Bahasha za waombaji wa Zabuni ya Uingizaji mafuta Zanzibar kwa miezi
miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar
Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim
akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya
Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa
mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim
akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya
Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa
mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya
Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Muakilishi wa Kapuni ya Augusta
Energy sa yenye makazi yake Geneva Switzerland Orlando D’costa
akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutangazwa kua mshindi
wa Zabuni ya Uingizaji mafuta Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na
Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani
mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Waagwa kwenda Dafurl Sudan kwa Ulinzi wa Amani
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Andrew Sattaa akiwakabidhi bendera ya Taifa kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi
hilo (IGP) Simon Sirro, askari wa Jeshi hilo wanaokwenda Darful, nchini
Sudani kushiriki shughuli za Ulinzi wa amani ambapo amewataka askari hao
kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote
watakachokuwemo nchini humo. Picha na Jeshi la Polisi
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Adrew Satta, akimuwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro,
akiwaaga askari wanaokwenda kushiriki shughuli za Ulinzi wa Amani Darful
Nchini Sudan, ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na
kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote watakachokuwemo nchini humo.
Picha na Jeshi la Polisi.
TSN,TBC ZA TWAA TUZO ZA DSE 2017 PIA ZIPO NMB, TBL NA STANDARD CHARTERED BANK
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo bora cha habari mwaka 2017
(Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa. (Picha:Mroki Mroki/TSN Digital).

(Digital), Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,
Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa
Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia) baada ya Benki hiyo
kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa
Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,
Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya
Bia Tanzania,(TBL), Bruno Zambrano (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka
mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni OfisanMtendaji Mkuu wa DSE,mMoremi Marwa.
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake. Katikati ni OfisanMtendaji Mkuu wa DSE,mMoremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,
Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Meneja Mwandamizi wa Benki ya
NMB anaeshughulika na Mikakati na mahusiano ya wawekezaji, Anna Mwasha
(kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi wa pili katika tuzo za mwaka
huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na
wadau wake. Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
Wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered wakiwa katika picha
wafanyakazi wa TBL nao wakifurahia tuzo yao.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na Kaimu
Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia)
baada ya Vyombo hivyo vya habari vya serikali kushinda tuzo za DSE
2017.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakifurahia tuzo yao.
Picha ya pamoja kati ya wafanyakazi wa TSN na majaji katika tuzo za DSE.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi akiwa na
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia.
Picha ya pamoja ya washindi na watumishi katika taasisi zao.
Wageni mbalimbali waliohudhuiria hafla hiyo wakiwa ukumbini wakati wa utoaji tuzo.
KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKINGA AFUNGUA KONGAMANO LA WAZEE MJINI DODOMA
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na
Watoto Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na wazee kwenye Ukumbi wa Shule ya
Sekondari Dodoma wakati akifungua Kongamano la Wazee kuelekea Kilele cha Siku
ya Wazee Duniani Oktoba Mosi 2017.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi
akifafanua jambo kwa wazee walioshiriki Kongamano lililofanyika kwenye Ukumbi
wa Shule ya Sekondari Dodoma.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania Mzee
Sebastian Bulegi akitoa salamu za wazee kwa Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa
Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga (hayupo Pichani)
wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Wazee kuelekea Maadhimisho ya Siku ya
Wazee Duniani lililofanyika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma .
Mtaalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Huduma
za Jamii Dkt. Daudi Kaale akijibu hoja mbalimbali za wazee kwenye Kongamano la
Wazee kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani lililofanyika Ukumbi
wa Shule ya Sekondari Dodoma.
Baadhi ya Wazee kutoka mikoa ya Tanzania Bara
wakifuatilia mada mbalimbali katika Kongamano la Wazee kuelekea
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani liliofanyika Ukumbi wa Shule ya
Sekondari Dodoma.
TAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI TABORA
Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana. |
Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta |
Darasa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani Tabora. |
Omy Dimpoz akiburudisha wakaz wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja via |
Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora. |
Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora |
Maua Sama akiimba kwa hisia
Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jana. |
Share
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)