Saturday, September 30, 2017

UFUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA UINGIZAJI MAFUTA WA PAMOJA WAFANYIKA ZANZIBAR.

DSC_0924
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibarkwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_0929
Baadhi ya Wawakilishi wa Makampuni yalioomba zabuni ya Uingizaji Mafuta wakijitambulisha katika Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_0942
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji katikati akionesha Bahasha za waombaji wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_1013
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
DSC_1019

DSC_1029
Muakilishi wa Kapuni ya Augusta Energy sa yenye makazi yake Geneva Switzerland Orlando D’costa akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutangazwa kua mshindi wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment