| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph Nyamhanga na Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick
Mfugale kwa Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA)
Bw. Shinichi Kitaoka aliyekutana naye Agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar
es salaam. |
No comments :
Post a Comment