Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo wakati wa uwasilishaji wa
taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika
la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mtango Mtahiko akimueleza jambo Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani wakati wa kikao cha
uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
(KINAPA).
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro(KINAPA) Betrita Loibook pamoja na Mhifadhi Ikolojia
KINAPA,Iman Kikoti wakifanya maandalizi kwa ajili ya kuwasilisha taarifa
ya Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA).
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook akifanya uwasilishaji wa taarifa
kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro kwa Naibu Waziri wa
Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani.
Madiwani kutoka kata mbalimbali za jimbo
la Vunjo pamoja na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia pia
wameshiriki katika kikao hicho kilichofanyika makao makuu ya Hifadhi ya
Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makini akifuatilia kwa makini uwasilishaji wa
taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) uliokuwa
ukifanywa na Mkuu wa Hifadhi hiyo Betrita Loibook.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro,Betrita Loibook akitoa ufafanuzi wa mambo kadhaa
yaliyoulizwa wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya
Mlima Kilimanjaro(KINAPA).
Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika
la Hifadi za Taifa (TANAPA) Mtango Mtahiko akitoa ufafanuzi na majawabu
ya maswali yaliyoibuka wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya
Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA).
Mbunge wa Jimbo la Vunjo,James Mbatia ,akichangia jambo katika kikao hicho .
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akichangia jambo katika kikao hicho.
Mhifadi Ujirani Mwema katika Hifadhi ya
Taifa ya Mlima Kilmanjaro (KINAPA) Hobokela akieleza namna ambavyo
Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) inavyoshughulikia
changamoto za wananchi wanaosihi kando ya hifadhi hiyo.
(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini).
No comments :
Post a Comment