Friday, August 4, 2017

MASAUNI ATEMBELEA KITENGO CHA POLISI CHA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA,KILWA ROAD JIJINI DAR ES SALAAM.


Naibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akiongozananaNaibuKamishnawa Polisi, DCP Mkonyi, wakatialipotembeleaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevyakilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizwajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingzwajinausambazaji.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.


Naibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akisomewatakwimuzamatukioyaukamatajiwaDawazaKulevyanammojawaafisawaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevyawakatialipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizwajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingzwajinausambazaji.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.


NaibuKamishnawaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevya, DCP Mkonyi, akitoataarifafupiyahaliyauzuiajiwaDawazaKulevyambeleyaNaibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingizwajinausambazaji. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.



NaibuWaziriwaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akizungumzanawatumishiwaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevyapamojanawaandishiwahabari (hawapopichani), wakatialipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizwajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingizwajinausambazaji.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.

No comments :

Post a Comment