Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mwenyekiti
wa zamani wa Klabu ya Dar Gymkhana, George Kritsos wakati wa hafla
yamaadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana
yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa klabu ya Dar es
salaam Gymkhana, Walter Chipeta akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla
wa mchezo wa Gofu, Asim Mohamed Rahim aliyeshinda kwa pointi 81 wakati
wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana
yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa klabu ya Dar es
salaam Gymkhana, Walter Chipeta akikabidhi zawadi kwa mshindi wa Mchezo
wa gofu divisheni B, Mohammed Rahim wakati wa hafla ya maadhimisho ya
miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini
Dar es salaam.
Nahodha wa mchezo wa Gofu wa
Klabu ya Dar Gymkhana Akhil Yusufali akizungumza wakati wa kilele cha
maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana
yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Britam
Insurance Tanzania, Godfrey Lokonyo akikabidhi zawadi kwa mshindi wa
Mchezo wa gofu divisheni C, Simon Mwangi wakati wa hafla ya maadhimisho
ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana
jijini Dar es salaam.
No comments :
Post a Comment