MSTAHIKI
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu
Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo Ofisini
kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini leo.baada ya kutoka nje
kwa matibabu.
Mstahiki Meya
wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Askofu Mkuu wa
jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo
alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Askofu Mkuu wa
jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo
akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kuhusu
hali ya afya yake alipomtembelea leo Ofisini kwake ,kanisa la
Mtakatifu. Joseph.
Mstahiki Meya
wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsikiliza Askofu Mkuu wa jimbo
Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo
alipomtembelea ofisini kwake leo ,Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini
hapa.
Mstahiki Meya
wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata Baraka kutoka kwa Askofu
Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp
Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika kanisa la Mtakatifu
Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.
Mstahiki Meya
wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kumjulia hali Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam
Mwadhama KardinalPolycarp Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo,
katika kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.
No comments :
Post a Comment