Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia) akionyeshwa na Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Manyara, Francis Massawe (kulia), jengo la Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi mkoani humo ambalo limekwama ujenzi wake, lililopo
mjini Babati mkoani humo. Masauni amemaliza ziara yake ya siku mbili
mkoani humo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Afisa Uhamiaji Mkoa
wa Manyara, Naibu Kamishna, Juliette Sagamiko (kushoto) alipokua anatoa
maelezo kuhusu Jengo la Makao Makuu ya Uhamiaji mkoani humo
(linaloonekana nyuma ya viongozi hao), ambalo lipo katika hatua ya
mwisho kukamilika lakini limekwama kuendelea na ujenzi wake. Katikati ni
Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Francis Massawe. Masauni amemaliza ziara
yake ya siku mbili mkoani humo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akipokea salamu ya heshima
kutoka kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara.
Watatu kulia ni Kamanda wa Jeshi hilo, mkoani humo, Heriel
Kimaro.Masauni amemaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo kwa
kutembelea ofisi mbalimbali zilizopo ndani ya Wizara yake
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Manyara, Francis Massawe, wakati alipokua akitoa taarifa fupi ya
utendaji wa Jeshi hilo,ofisini kwake mkoani humo. Masauni amemaliza
ziara yake ya siku mbili mkoani humokwa kutembelea ofisi mbalimbali
zilizopo ndani ya Wizara yake. Pic
No comments :
Post a Comment