Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea
maandano ya maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Agakhan alipo chaguliwa kuwa
Imamu mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani yaliyofanyika katika viwanja
vya Diamond Jubilee, Waziri Mkuu amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika
sherehe hiyo, Julai 9, 2017. (PICHA NA
OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi waiyo hudhuria katika maadhimisho ya miaka 60 tangu
Mtukufu Agakhan alipo chaguliwa kuwa Imamu mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia
duniani, akiwa amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli, Julai 9, 2017.

akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Shia Ismailia Amin Lakhani wakati wa
maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Agakhan alipo chaguliwa kuwa Imamu mkuu
wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani, akiwa amemuwakilisha Rais Dkt. John
Magufuli, (katikati) ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sofia Mjema Julai 9, 2017.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni
kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Agakhan alipo chaguliwa kuwa Imamu
mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani, (kushoto) ni Rais wa Jumuiya ya
Shia Ismailia Amin Lakhani na (kulia) ni muwakilishi wa AKDN Resident Amin
Kurji, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. John Magufuli, (katikati) ni Mkuu wa
Wilaya ya Ilala Sofia Mjema Julai 9, 2017.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akiteta jambo na Rais wa Jumuiya ya Shia Ismailia Amin Lakhani, katika
maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Agakhan alipo chaguliwa kuwa Imamu mkuu
wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani, akiwa amemuwakilisha Rais Dkt. John
Magufuli, Julai 9, 2017.
No comments :
Post a Comment