| Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima kutoka kwa gwaride maalum katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017. |
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji Tanzania, Naibu Kamishna wa Magereza, Gideon Nkana
alipowasili kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya muziki wa Brass Band ya
Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji
Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017(kushoto) ni
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza, Gaston Sanga.
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa akikagua gwaride maalum katika hafla fupi ya ya kufunga
mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya
Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam
Julai 11, 2017.
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa akikagua Gadi ya wahitimu wa mafunzo ya muziki wa Brass
Band ya Jeshi la Magereza kwenye Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11, 2017.
Wahitimu wa mafunzo ya muziki wa
Brass Band ya Jeshi la Magereza wakipita mbele ya jukwaa kwa heshima
katika hafla ya kufunga rasmi mafunzo hayo kwenye Viwanja vya Chuo cha
Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 11,
2017.
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Magereza wakiwa wamesimama kwa heshima kabla ya Wahitimu wa mafunzo ya
muziki wa Brass Band ya Jeshi la Magereza kupita mbele ya jukwaa kwa
heshima katika hafla ya kufunga rasmi mafunzo hayo.
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa(kushoto) akiwa katika jukwaa akifuatilia kwa makini
maonesho mbalimbali ya wahitimu wa mafunzo ya muziki wa Brass Band ya
Jeshi la Magereza(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji
Tanzania, Naibu Kamishna wa Magereza Gideon Nkana.
Wahitimu wa mafunzo ya muziki wa
Brass Band ya Jeshi la Magereza wakionesha onesho maalum la umbo la
Mwenge wa Uhuru kama inavyoonekana kaika picha.
Wahitimu wa mafunzo ya muziki wa
Brass Band ya Jeshi la Magereza wakitoka uwanjani mara baada ya kuonesha
maonesho mbalimbali katika hafla fupi ya kufunga rasmi mafunzo hayo.
Jumla ya Askari 90 wa Jeshi Magereza wamehitimu mafunzo hayo.
Kamishna Jenerali wa Magereza,
Dkt. Juma Malewa(wa tatu toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na
Wahitimu wanawake wa mafunzo ya muziki wa Brass Band ya Jeshi la
Magereza. Walioketi wa pili toka kushoto ni Kamishna wa Fedha na
Utawala, Gaston Sanga, (wa kwanza kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Dar es Salaa, Naibu Kamishna wa Magereza Augustine Mboje, (wa tatu toka
kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Naibu Kamishna wa
Magereza, Gideon Nkana, (wa pili toka kulia) ni Boharia Mkuu wa
Magereza, Naibu Kamishna wa Magereza Uwesu Ngarama na wa kwanza kulia ni
Mkuu wa Mafunzo Jeshini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Charles
Novart,(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments :
Post a Comment