| Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Askari wa kikosi cha kutumia ghasi (FFU), Mara baada ya kupokea salamu ya heshima ya kijeshi, IGP Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo huku akiwataka askari kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha suala la uhalifu na wahalifu linadhibitiwa. |
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza
na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini
Pemba (hawapo pichani) leo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika
Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP
Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa
wa Kaskazini Pemba Omar Athuman (aliyesimama), wakati akitoa neno Mbele
ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kaskazini na Kusini
Pemba, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi kutoka kwa Askari wa
kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakati akiwasili Makao Makuu ya Jeshi
la Polisi mkoa wa Kusini Pemba leo, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa
ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na
watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Askari wa kikosi cha kutumia ghasi (FFU), Mara baada ya kupokea salamu ya heshima ya kijeshi, IGP
Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo huku akiwataka
askari kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha suala la uhalifu na
wahalifu linadhibitiwa.
Wajumbe
wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na kusini Pemba,
wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakati
akitoa neno kwenye kikao kazi Mara baada ya kuwasili kisiwani humo, IGP
Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.( Picha zote na
Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)
No comments :
Post a Comment