Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu akipewa Maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na
Mahakama ya Tanzania katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa na
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi Mhe. Joachim Tiganga
alipotembelea banda hilo sehemu ya Mahakama Kuu.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu akizungumza jambo na watumishi wa Mahakama
alipotembelea banda la Mahakama ya Tanzanaia sehemu ya Mahakama Kuu
Divisheni ya kazi leo jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu akizungumza jambo na watumishi wa Mahakama
alipotembelea banda la Mahakama ya Tanzanaia sehemu ya Mahakama Kuu
Divisheni ya kazi leo jijini Dar es Saalaam.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu akiangalia ukuta uliojegwa kwa kutumia Teknolojia ya
Moladi alipotembelea banda la wadau wa Mahakama (Moladi Tanzania).
Mahakama ya ya Tanzania inatumia Teknolojia ya Moladi kujenga baadhi ya
Mahakama zake.
Fundi Mchundo wa Mahakama ya
Tanzania, Hassan Dunia akimuelezea Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar
Othman Makungu kuhusu ujenzi wa majengo ya Mahakama kwa kutumia
teknolojia ya Moladi leo alipotembelea banda la wadau wa Mahakama
(Moladi Tanzania).
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu
ya Tanzania Divisheni ya Ardhi Mhe. Joachim Tiganga akimsindikiza Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu baada ya kumaliza kutembelea
banda la Mahakama ya Tanzania
No comments :
Post a Comment