Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na
Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)
pampoja na Uongozi wa ZECO katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,

ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme
Zanzibar (ZECO) Nd,Hassan Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati wa kikao cha
siku moja cha Ungozi wa Shirika hilo na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) katika kikao cha kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
No comments :
Post a Comment