Monday, July 31, 2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI

DSC_7410
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini na Uongozi wa Mamlaka ya Usafirishaji  Baharini katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 31/07/2017
DSC_7493
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 31/07/2017.
DSC_7550
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Bandari na Uongozi wa Shirika la Bandari katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 31/07/2017.
DSC_7560 DSC_7576
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu] 31/07/2017.

No comments :

Post a Comment