Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akipokea risala kutoka kwa mmoja wa wanufaika wa Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Sempeho Samweli Mtangi wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally Ghahae. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea tuzo zote kwa niaba ya wengine |
Mwenyekiti
wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa
Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es
Salam.Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa
baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni
ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji
Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya
wengine.Tuzo hizo zimetolewa na Taasisi ya Mama’s and Papa’s For
Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR). Kutoka kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally Ghahae na Mrakibu wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba.
Mrakibu
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba akizungumza
wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za
Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Uzinduzi
huo ulienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau
wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt.
Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude
Rwakatale na Agustine Lyatonga Mrema( kulia) aliyepokea tuzo zote kwa
niaba ya wenzake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform
Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae akizungumza wakati wa
hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na
dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Hafla hiyo ilienda
sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya
kijamii akiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi,
Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema
aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.Tuzo hizo zimetolewa na
taasisi hiyo. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole
nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema na Mrakibu wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform
Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae akionyesha tuzo
maalum kwa kutambua mchango wa Mhe. Agustine Lyatonga Mrema (mwenye
kofia) katika kuthamini jamii wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya
uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana
Jijini Dar es Salam. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za
heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo,
Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea tuzo zote kwa
niaba ya wengine.
Mwakilishi
wa kundi la wasanii Bi. Rahmaty Shariffu (Najma) akitoa nasaha kwa
wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyoko Kigamboni Jijini Dar es
Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za
Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Program
hiyo inaratibiwa na Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform
Rehabilitation Center (MPFCR).
Mwanafunzi
wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Wilayani Kigamboni Jijini Dar es
Salaam Kheri Rajab akitoa neno la shukrani kwa Taasis ya Mama’ and
Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) wakati wa
hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa
za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.
Paschal
Gideon Mtenzi akitoa ushuhuda na nasihi kwa wanafunzi walioshiriki
hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa
za Kulevya mashuleni jana iliyofanyika katika Shule ya Msingi Maweni
iliyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Ally Baadeni
Farahan, ambao wote kwa pamoja walikuwa waathirika wa dawa za kulevya
lakini kwa sasa wamejinasua kwa kupata huduma ya matibabu.
Kikundi
cha sanaaa kutoka ofisi ya Kata ya Mji Mwema, Kigamboni Jijini Dar es
Salaam wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji
wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es
Salam.
No comments :
Post a Comment