Mbunge wa
Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete, (kulia), akizungumza jambo na wabunge wenzie katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.(PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Mbunge wa
Hanang’ Mhe.Mary Nagu akizungumza jambo
na Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Martha Umbulla katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Suleiman jafo
katika kikao cha Ishirini na nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe.Dk.Ashitu Kijaji akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Mhe.Juma
Nkamia katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.Hussein Bashe akisoma
Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya
Elimu,Sayansi na Teknolojia katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza kikao
cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13,
2017.
No comments :
Post a Comment