Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho,
Mama Anna Abdala baada ya kufungua mkutano mkuu
wa wadau wa Korosho nchini kwenye ukumbi wa chuo cha Mipango Dodoma leo
Mei 3, 2017. Katikati ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu akitoa hotuba yake ya ufunguzi
Sehemu ya wadau wa Korosho waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Waziri Mkuu Majaliwa.
No comments :
Post a Comment