Mtaalamu wa Majengo kutoka kampuni
inayojenga Kituo cha Polisi Oysterbay, Mhandisi Fanuel Malekela, akitoa
maelezo ya mchoro wa ujenzi wa kituo hicho kwa Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Ulinzi naUsalama, Balozi Adadi Rajabu
(wa pili kushoto),wakati kamati hiyo ilipotembelea ujenzi wa mradi
huo.Wengineni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba
(watatukushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi,IGP Ernest Mangu.Ziara hiyo
imefanyika leo jijini Dar esSalaam.
Kamishna wa Fedha wa Jeshi la
Polisi,Albert Nyamhanga, akitoa maelezo ya mradi wa Ujenzi wa kituo cha
Polisi,Oysterbay kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya
Nje ya Ulinzi na Usalama, Balozi Adadi Rajabu (watatu kulia), wa pili
kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Mambo
yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba(kulia),
akiwaongozakutokandaniyajengowajumbewaKamatiyaKudumuya Bunge ya Mambo
yaNjeyaUlinzinaUsalamabaadayakumalizakutembeleanakukaguamaendeleoyamradiwaUjenziwakituo
cha polisi,Oysterbayleojijini Dar
esSalaam.Hukusehemukubwayamradihuoikiwaimekamilika. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments :
Post a Comment