Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Edwin Ngonyani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati wa maadhimisho ya siku ya hali ya hewa duniani
mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akisisitiza jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa maadhimisho ya siku ya
hali ya hewa duniani mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya hali ya hewa
duniani mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Dkt. Agnes Kijazi (hayupo pichani) habari wakati wa maadhimisho ya siku
ya hali ya hewa duniani mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
No comments :
Post a Comment