Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Naibu Waziri wa
Wizara hiyo Annastazia James Wambura katika Ofisi za Idara ya Habari –
MAELEZO mala baada ya kutoka kula kiapo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea shada la maua kutoka
kwa mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bi. Flora Mwnyenyembegu wakati
wa mapokezi ya Waziri huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari
– MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa
Wizara hiyo Annastazia James Wambura(wapili kushoto) na Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Bibi. Nuru Khalfan Milao wakati wa mapokezi ya
Waziri huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bibi. Zamaradi Kawawa wakati wa
mapokezi ya Waziri huyo yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari –
MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Yusuph Omary wakati wa mapokezi ya Waziri huyo
yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa OElisante Ole Gabriel akimtambulisha
Kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe (katikati) Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi.
Joyce Fissoo (kushoto) wakati wa mapokezi ya Waziri huyo yaliyofanyika
katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokelewaakiweka saini katika
kitabu cha wageni mara baada ya kupokelewa na watendaji wa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Taasisi zake mapokezi
yaliyofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini Dar
es Salaam.Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Annastazia James Wambura.
Picha zote na Frank Shija – MAELEZO.
No comments :
Post a Comment