Ndugu waandishi wa habari,
Tunawashukuru
kwa kupokea wito wetu na kuja, karibuni sana tunawaahidi kwamba
tutaendelea kushirikiana nanyi katika kila hatua.

Aidha
Umoja wa Vijana wa CCM unavipongeza sana vyombo vyote vya habari nchini
kwa juhudi zenu za kuhabarisha, kuelimisha, kuwaasa, kuwaelekeza na
kuihabarisha jamiii katika masuala kadhaa yanayohusiana na mipango ya
maendeleo, mikakati, sera na malengo ya Serikali na mipango ya vyama
vya siasa.

Ndugu Waandishi wa habari.
Tumewaita
leo kuzungumzia mambo 2 makubwa, na suala zima la mtikisiko wa
demokrasia katika mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge katika Bunge la
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulivyoendeshwa ndani ya vyama vya
upinzani nchini.

Bunge
la Afrika Mashariki kama mjuavyo ni chombo kikubwa na chenye heshima ya
pekee katika kanda yetu. Kuwepo kwake kunaashiria muendelezo wa kufufua
dhana, dhamira, mikakati, fikra na malengo ambayo yaliasisiwa na waasisi
wa Mataifa yote yaliyomo katika Kanda yetu ili hatimaye siku moja
ishuhudiwe Kanda hii na Bara zima la Afrika likiunda dola moja.

Ni
jambo la heri na faraja kuona EAC ya sasa ikiwa ni yenye kufikia
malengo ya utengamano na mafanikio hususan katika nyanja za kiuchumi na
kiusalama kama vile kuwa na Pasi moja ya kusafria, miingiliano ya
wananchi wake katika ufanyaji wa biashara pia mkakati kuelekea kupata
viwango sawia vya ushuru wa Forodha.

Masuala
mengine ni kuona maeneo ya mipaka yetu kukiendelea kuwa na ustawi wa
hali ya utulivu na usalama, wakati huo EAC ikifanya kila linalowezekana
kumaliza migogoro yake ya kisiasa ambapo mazungumzo ya upatanishi huko
Burundi yamekuwa yakiendelea chini ya mpatanishi mkuu Rais mstaafu
Benjamin Mkapa sambamba na wananchi wa pande zote za nchi wanachama
tukishuhudia wakiishi kwa maelewano, umoja, udugu na mafahamiano.

katika jumla ya mambo yanayofurahisha na pengine yakiwasuta na
kuwaaibisha maadui na vibaraka ambao aghalab hutumiwa kwa malipo yenye
ujira wa dhambi toka kwa mabeberu katika kuhakikisha mipango batili ya
kutaka kudhoofisha, kuigawa na kukwamisha juhudi za EAC isiimarike..

kuibuliwa na kupokewa kwa mpango uitwao ” One Stop Boarder” yaani (OSB)
sasa umefanikiwa huko mipakani baina ya nchi wanachama. Pia
kuanzishwa miradi mikubwa ya kiuchumi mfano bomba la mafuta toka
Kampala (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) ujenzi wa reli toka kigali hadi
Uganda huku EAC ikielekea kuwa na sarafu moja kabla ya kufikiwa azimio
la uundwaji wa Shirikisho moja.

Umoja
wa Vijana wa CCM tumelazimika kuyataja na kuyaainisha maeneo hayo
yaliopata mafanikio kwa uchache lengo likiwa ni kuonyesha uwepo na
ustawi wa EAC pamoja na umuhimu wa bunge lake kama ni jambo nyeti na
wala si suala dogo au la mchezo mchezo kama ambavyo baadhi ya vyama vya
siasa nchini vimeonyesha udhaifu.

Ndugu Waandishi wa Habari,
Baadhi
ya vyama vya siasa nchini vimeshindwa hata kuteua wagombea ubunge
wengi ili kuwania nafasi katika bunge hilo la Jumuiya ya Afrika
Mashariki kwa sababu zinazotokana aidha na ubinafsi, umimi na udikteta.

Tunachukua
fursa hii kwanza kukipongeza Chama Cha Mapinduzi na wanachama wake wote
450 ambao kwa ujasiri, uwezo na kujiamini kwao wamethubutu kujitokeza
na kuchukua fomu za kuwania nafasi za ubunge wa EAC.

Kitendo
cha wanachama hao wa CCM kujitokeza kwa wingi kimsingi
kimeidhihirishia dunia kwamba chama chetu bado ni cha kidemokrasia
kinachoungwa mkono na kuaminiwa na wananchi wengi wakiwemo Vijana,
wanawake na wana taaluma mbali mbali wakitambua ndicho chama pekee imara
chenye kujali, kuthamini na kufuata misingi ya usawa na demokrasia ya
kweli.

Wanachama 450 wa
CCM walichukua fomu kwa kufuata taratibu baada ya mchujo wa kidemokrasia
kufanyika ndani ya CCM, wanachama 12 wamebahatika kuteuliwa na vikao
vya kikatiba ambapo sasa wagombea hao watasimama mbele ya wabunge wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusaka ridhaa kwa kujieleza na
kuomba kura.

Ndugu Waandishi wa habari,
Umoja
wa Vijana CCM kwa tunasikitishwa sana na mwenendo wa demokrasia ndani
ya vyama vya upinzani katika uteuzi wa kuwapata wagombea wa ubunge wa
bunge la Afrika Mashariki (EALA) Chadema, CUF na NCCR Mageuzi kwa
jinsi walivyowasilisha uwakilishi haba na finyu lakini pia kujitokeza
kwa wagombea wachache hali inayoonyesha uminyaji wa demokrasia ndani ya
vyama vyao.

Chadema na
washirika wao mara kadhaa hujigamba vichochoroni na kujionyesha kuwa wao
ni watetezi wa demokrasia lakini unapofikia wakati wa utekelezaji wa
jambo hilo kwa vitendo, ndani ya chama hicho humea ukandamizaji wa haki
na kujitokeza upendeleo, ukanda, kubebana aidha kwa asili, ujamaa na
urafiki au kulipana fadhila.

Katu
huu si mwenendo mwema ulioonyeshwa na vyama vya upinzani. Vimejipaka
matope ya fedheha kwa kushindwa kuonyesha kama ni waumini wa kweli wa
demokrasia badala yake havikujali wala kuheshimu dhana ya demokrasia na
kujikuta vimejianika na kuuthibitishia umma wa watanzania kuwa vyama
hivyo ni vya watu maalum vya kibwanyenye na vya kiimla .

Kufanya
uteuzi wa wanachama wanaogombea nafasi za kidemokrasia kwa kumtazama
asili yake, anatoka kanda ipi, kabila, imani yake au nasaba licha ya
kwenda kinyume na misingi ya Taifa letu lakini pia ni kinyume na
matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

UVCCM
kwa kauli moja tunawaamsha na kuwatumia ujumbe watanzania wenzetu
hususan Vijana mahali popote walipo wavikatae na kuvikwepa vyama vya
aina hiyo, wasikubali kugawanywa kwa asili zao, imani au rangi na
nasaba.

Taifa letu ni
alama pana ya kuenzi na kudumisha demokrasia si tu barani Afrika lakini
vile vile duniani kote, hivyo kwa umoja wetu, kwa nguvu zetu, akili na
maarifa tulionayo, abadan tusijaribu kuichezea amani yetu, umoja na
mshikamano wetu uliojengwa na waasisi wa Taifa letu na kukubali
kuvishabikia vyama na viongozi wasaka madaraka kwa hila ambao ni
wafujaji na wakandamizaji wa misingi ya demokrasia ndani ya vyama kama
ilivyojionyesha kwa vyama vya upinzani vya Tanzania katika uteuzi wa
wabunge EAC.

Mchakato wa Uchaguzi ndani ya UVCCM.
Uchaguzi
Mkuu wa CCM wa mwaka 2017, unafanyika wakati ambapo CCM inatimiza miaka
40 tokea kuasisiwa kwake tarehe 5 Februari, 1977 na ni wakati ambapo
nchi yetu inatimiza miaka 25 ya Mfumo wa Vyama Vingi ulioridhiwa na
Mkutano Mkuu wa CCM kutokana na busara za Viongozi wake.

Ratiba
ya Uchaguzi Mkuu wa Chama na Jumuiya zake inaonesha mchakato wa
Uchaguzi wa Jumuiya za CCM kuwa unaanza kabla ya ule wa CCM. Utaratibu
huu unalenga kuwawezesha wanachama wa Jumuiya za CCM ambao watakuwa ni
wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika CCM, au wale
waliochaguliwa kuwakilisha Jumuiya zao katika Vikao vya CCM ili waweze
kuhudhuria mikutano ya Chama inayowahusu.

wa Vijana wa CCM umekamilisha maandalizi yote ya msingi ya awali kwa
ajili ya Uchaguzi unaotarajia kuanza tarehe 1 April, 2017 ikiwemo
kusambaza vifaa katika Mikoa na Wilaya zote nchini wa ajili ya
kufanikisha uchaguzi kwa wakati.

Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi
imekamilisha mapitio na uteuzi wa Makatibu wa Mikoa na Wilaya katika
Jumuiya ambao watakuwa ndio wakurugenzi wa Uchaguzi katika maeneo yao.

Tunaendelea
kuwakumbusha Watendaji wetu muda wote kusimamia haki, ukweli na usawa
lazima vijana wa CCM muda wote tuishi katika maneno na maagizo ya
Mwenyekiti wetu wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli.

Hatutamvumilia
mtendaji yeyote atakayekiuka Kanuni, Taratibu na miongozo kwa makusudi
ili kufurahisha kikundi au watu fulani. Uchaguzi huu 2017 UVCCM tunataka
kuidhihirishia dunia na Vyama vya Upinzani kuwa CCM ni Chuo Cha
Demokrasia ulimwenguni.

Mwisho
niendelee kuwahamasisha vyema wote nchini yenye sifa kujitokeza kwa
wingi kugombea nafasi mbali za uongozi ndani ya CCM na Jumuiya zake
kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mikoa na Taifa.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
KAIMU KATIBU MKUU
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wana Habari Makao Makuu UVCCM Upanga (PICHA NA FAHADI SIRAJI)
No comments :
Post a Comment