Katibu Msaidizi wa Chama cha
Mabunge Wanachama Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region )
Bw. Demetrius Mgalami akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 72 wa Kamati Tendaji ya CPA Afrika Jijini
Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye
pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika kusini Mhe Lindiwe Maseko ( wa pili
kushoto) na Katibu wa Chama cha CPA Afrika ambaye pia ni Katibu wa
Bunge la Tanzania Dkt Thomas Kashililah.
Wajumbe wa Kamati Tendaji ya CPA Afrika wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo kabla ya kuanza kwa Mkutano huo.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akizungumza na Wajumbe wa Kamati Tendaji CPA Afrika wakati wa Mkutano
wa Chama hicho uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni
Viongozi wa Kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya
CPA Afrika ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Kusini Mhe. Lindiwe
Maseko akizungumza wakati wa Mkutano huo.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
(kulia waliokaa mbele) ambaye pia ni Mwenyejiti wa Bodi ya Chama cha CPA
Afrika akiongoza kikao cha Bodi hiyo mara baada ya kikao cha Kamati
Tendaji ya chama hicho kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya
CPA Mhe. Lindiwe Maseko. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Bodi hiyo.

No comments :
Post a Comment