Mratibu wa Mafunzo kutoka Jumuiya
ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bi. Eliet Magogo
akiwasilisha mada katika warsha ya kuhamasisha raia kujiunga katika
jeshi la ulinzi wa amani la jumuiya hiyo iliyofanyika leo katika Hotel
ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Watumishi kutoka katika Wizara, Idara na Taasisi za Serikali. Katikati ni Mkuu wa Kitengo kinachoshughulikia raia katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Bw. Ernest Kantchentche na kushoto
ni Bi. Caroline Chipeta, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa
Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki. |
No comments :
Post a Comment