Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa pole Mama janeth Kahama, Mjane
wa mwanasiasa mkongwe na Waziri wa Kwanza wa Ushirika na Masoko katika Baraza la Mawaziri chini ya Serikali ya Madaraka na baadaye Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Ndani baada ya Uhuru, Marehemu Clement George Kahama maarufu kama `Sir George Kahama’ aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akishiriki katika sala na Mama Janeth Kahama, Mjane wa mwanasiasa mkongwe Marehemu Clement George Kahama maarufu kama `Sir George Kahama’ na ndugu, marafiki na jamaa wa familia ya marehemu aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha maombolezo baada ya kumfariji Mama Janeth Kahama, Mjane wa mwanasiasa mkongwe na Waziri wa Kwanza wa Ushirika na Masoko katika Baraza la Mawaziri chini ya Serikali ya Madaraka na baadaye Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Ndani baada ya Uhuru, Marehemu Clement George Kahama maarufu kama `Sir George Kahama’ aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mama Janeth Kahama, Mama Evelyn Warioba, Anna Kahama-Rupia, Mama Rahma Bomani,Mama Getrude Luangisa, Mama Ishengoma, Mama Feruzi na Mama Tunu Mwapachu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana baada ya kumpa pole Mama Janeth Kahama, Mjane wa mwanasiasa mkongwe Marehemu Clement George Kahama maarufu kama `Sir George Kahama’ aliyefariki dunia hivi karibuni jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment