Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiimba wimbo wa uzalendo
wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi yake Dodoma Machi
28, 2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa uzalendo wakati wa
mkutano wao wa mwaka katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma.
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi
Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Flora Bilauri akitoa neno la utangulizi wakati
mkutano wao wa mwaka uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma
Machi 28, 2017.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiwasilisha hotuba yake wakati
wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi yake ukumbi wa mikutano
Dodoma Machi 28, 2017.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango
Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Packshard Mkongwa akiwasilisha hoja za bajeti
ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi
uliofanyika Dodoma Machi 28, 2017.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (katikati waliokaa) akiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya
Waziri Mkuu mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa ofisi
hiyo Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
No comments :
Post a Comment