Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Bibi Veroniqu Gorrioch kuhusu utengeneza na
ukarabatiwa meli, pantoni na boti wakati alipotembelea kiwanda cha
kutengeneza na kukarabati meli, pantoni na boti cha Contier Naval Del’
Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha Mauritius Machi 21,
2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea kwanda cha kutengeneza na kukarabati meli, boti cha pantoni
cha Contier Naval Del’ Oceaniindien Limited (CNO 1 Company Limited) cha
Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment