Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes
nchini Mauritius Machi 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
akitazama makasha yenye minofu ya samaki wakati alipotembelea kiwanda
cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.
Wapili kulia ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohammed.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment