Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni aliyesimama, akitoa ufafanuzi wa
Bajeti ya Jeshi la Magereza kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Kikao
cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati
wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani
Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad Rajab wa pili kulia
akifuatiwa na Katibu wa Kamati hiyo Mhe, Ramadhani Issa Abdallah,
wakisilikiza kwa makini ufafanuzi wa Bajeti ya Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji uliokuwa ukitolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Thobias Andengenye, katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu
ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya
mwaka wa fedha wa 2017/2018 kwa Majeshi yaliyoko katika Wizara ya Mambo
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa
Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao
hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma
[UDOM] mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni, akisoma Bajeti ya Jeshi la
Magereza kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Kikao cha Kamati ya Bunge
ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya
Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo katika Wizara
hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la
Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema
tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika
ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Dr. Juma Malewa, akitoa ufafanuzi wa shughuli zitakazotekelezwa kwenye
Bajeti ya Jeshi hilo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Kikao cha
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa
Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo katika
Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza
mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo
katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Thobias Andengenye akijibu hoja mbalimbali zilizoulizwa na
wajumbe Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,
kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Jeshi hilo katika mwaka wa fedha
uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama kilichopitia Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2017/2018
kwa Majeshi yaliyoko katika Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne
mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna
Peter Makakala, akiwa pamoja na watendaji Waandamizi wa Jeshi la
Uhamiaji wakifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad Rajab
hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kuipitia Bajeti ya
Jeshi la Uhamiaji kwa mwaka ujao wa fedha katika Kikao cha Kamati ya
Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hatua ambayo ni
muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi
Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Sehemu ya Makamishna wa Jeshi la Magereza
na Uhamiaji wakifuatilia Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama kilichopitia Bajeti ya mwaka wa fedha wa
2017/2018 kwa Majeshi yaliyoko katika Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani
ya Nchi likiwemo Jeshi la Magereza, Zimamaoto na Uhamiaji, ikiwa ni
hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi
Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma. PICHA ZOTE NA WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YANCHI]
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments :
Post a Comment