Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo
Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na
kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika
mikoa mbalimbali nchini. Tayari hadi leo ameshafanya ziara katika mikoa
ya Iringa, Tabora, Kigoma, Manyara, Arusha na Kilimanjaro.
Mafunzo yanayotolewa na kampuni
hiyo kwa wajasiriamali zaidi ya 400,000 nchini ni. ufugaji wa kuku wa
chotara, sungura, samaki pamoja na kilimo bishara cha mbogamboga na
matunda.
Pia husaidia kupatika kwa masoko
ya bidhaa hizo, pamoja na kuwaunganisha katika taasisi mbalimbali za
kifedha ili kupata mikopo kirahisi.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda; Kamanda wa Matukio Blog


















No comments :
Post a Comment