Waziri wa Maliasili na Utalii,
Prof. Jumanne Maghembe akiaga msafara wa magari yaliyobeba vifaa vya
ofisi vya kundi la kwanza la watumishi wa wizara hiyo wanaohamia Makao
Makuu ya Nchi Mjini Dodoma nje ya jengo kuu la Wizara hiyo (Mpingo
House) Jijini Dar es Salaam leo.
Moja ya gari la jeshi lililokuwa
limebeba vifaa vya ofisi vya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii
likiondoka rasmi makao makuu ya wizara hiyo leo kuelekea mjini Dodoma.
No comments :
Post a Comment