Waziri wa Afya ,Maendeleo ya
Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummuy Mwalimu akihutubia wadau (hawapo
pichani) wa kifua kikuu toka nchi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa
Dunia wa 12 wa masuala ya Kudhibiti Kifua kikuu unaofanyika kwenye
Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency jijini hapa.
Mganga Mkuu wa Serikali Prof.
Mohammad Bakari Kambi akiwasilisha mada mada kwenye mkutano huo ambao
unafanyika kwa siku tatu na umewashirikisha Serikali,Sekta
binafsi,Mashirika Binafsi na wadau mbalimbali wa afya.
Waziri ummy Mwalimu akionesha kitabu cha mapambano dhidi ya kifua kikuu chenye mikakati mbalimbali ya kudhibiti ugonjwa huo.
Waziri Ummy Mwalimu akifuatalia Mada iliyokuwa ikiwasilishwa,kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammad kambi.
Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mada zinazowasilishwa kwenye mkutano huo
Picha ya pamoja ya washiriki wa
Mkutano wa Dunia wa 12 wa masuala ya Kudhibiti kifua Kikuu Duniani.Nchi
zilizohudhuria mkutano huo Afrika (Tanzania, Ethiopia,Kenya, Malawi,
Namibia, Uganda ,Zambia na Afrika kusini) nchi za Asia ni
(India,Pakistan,Bangladesh) Picha zote na Rayson Mwaisemba-Wizara ya
Afya)
No comments :
Post a Comment