Na Judith Mhina – MAELEZO
Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa –UNESCO Tanzania
imezindua Kamati ya Kimataifa ya Mpango wa Maendeleo ya Mawasiliano
katika ukumbi wa Magogoni Dar-es-Salaam mwishoni mwa mwezi Januari.
Akizindua Kamati na kikao cha
kwanza Kaimu Katibu Mtendaji wa UNESCO Taifa Dkt Moshi Kimizi amesema
Kamati ya Kimataifa ya Mpango wa Maendeleo ya Mawasiliano, ina jukumu
kubwa la kuelimisha na kuleta mageuzi na maendeleo katika mawasiliano
hasa katika nyanja za uhuru wa upatikanaji wa habari bila vikwazo,
kujenga uwezo wa Waandishi wa Habari katika kumudu majukumu yao na
kuhakikisha haki ya mwanahabari ya kufanya kazi yake kwa weledi bila
kubughudhiwa.
Akifungua kikao cha kwanza cha
KamatiDktKimizialiwatambuawajumbesabawaKamatiambapoMwenyekitiwaKamatiniDkt.
Eva Solomon Msangi, MhadhirikutokaShuleKuuyaMawasilianoya Chuo Kikuu
cha Dar-Es-Salaam, nawengine wane ambaomjumbemmojaametokaWizarazaHabari,
Utamaduni Sanaa naMichezo, Mambo yaNdaniyaNchi,
WadaumuhimuwaHabarikutokaBaraza la Habari Tanzania – MCT na Media Institute of Southern Africa – Tanzania -(MISA TANnaWawakilishiwawilikutoka UNESCO Taifa.
DktKimizialiwajulishawajumbekuwawanajukumu
la kuhakikishasautizawaliopembezoni au waliosahaulikazinasikika. Hivyo,
Kamatiiinapopangamipangoyakeiwekekipaumbelekwakutengarasilimalikwaajiliyakuwajengeauwezo,
kuwaimarishailiwawezekutoahabarizaonakupatahabaribilavikwazo.
AkitoataarifayaKikao cha Paris
UfaransaMwenyekitiwaKamatihiyo, Dkt Eva
Msangialisemakikaokilisisitizajuuyausalama,
ulinziidhidiyaWaandishiwaHabariuimarishwenakuzingatiwa,
kwakuwaWaandishiwengidunianiwakokatikahatariyakuteswa au
kuuwawawakatiwakitekelezawajibuwao.
DktMsangialiongezaBaraza la
Maendeleo la Mawasiliano la Dunialilipendekezanakuchaguamwenyekitiambapo
Bi Albana Shala kutoka Netherlands
alichaguliwakuendeleakwakipindikingine cha miakaminne.
KatikakuwekauwianowakijiografiawaBaraza, washirikawotewaUNESCO huwekwakatikamakundiyakikanda au kijiografia.
Makundihayoyapositaambayoni: Group I
(Western European and North American States), Group II (Eastern
European States), Group III (Latin-American and Caribbean States), Group
IV (Asian and Pacific States), Group V (a) (African States), Group V
(b) (Arab States).
Tanzania ipokatikakundi la 5 (a), kwakipindihikikundihililipochiniyauenyekitiwa Zambia. PamojanakwambaUNESCOkatikaMaendeleoyaMawasilianoKimataifa,
imejikitakatikamasualayaulinzinausalamawaWaandishiwaHabariilakininchihusikainawezaKuandaamiradimingineambayoinahusiananamaendeleoyaWaandishinaVyombovyaHabari.
Majukumumenginenikuwanamajukwaayakuchambuanakuelimishanailikuwajengeauwezokutokangaziyachininakwa
wale wasionasautikatikajamii.
Kupangamipangombalimbalinakuridhiamatumiziyarasilimalifedhanakuitekeleza,
KuwadarajakatiyawanataalumawaHabarinaWadauwahabarinaKujihusishanajambololotelenyemasilahikwenyeMpangounayohusiananatasniayahabari.
AkitoataarifaMratibuwaKamatiyaKimataifayaMaendeleoyaMawasilianokutokaTumeyaTaifaUNESCO
Tanzania Bi Christina
MusarochealisemaidadiyawajumbewanaowakilishaKamatiinampangowakuongezawajumbewawilikutokaSerikaliyaMapinduziya
Zanzibar yaaniWizarayaHabari, UtamaduninaUtaliinaMamlakayaMawasiliano
Tanzania TCRA ilikamatIihiikuwanamwakilishikutoka Zanzibar
kuwakilishamuunganona pia
kuwanamwakilishitokaMamlakayaMawasilianokwaajiliyakusaidiakuenezataratibunasheriazamtandaoninamawasilianokwajumla.
JAFO-FEDHA ZA MIRADI YA AFYA ZITUMIKE KIKAMILIFU ILI KUJIBU CHANGAMOTO ZILIZOPO
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais-TAMISEMI,Selemani Jafo,akizungumzia na wakurugenzi,wenyeviti wa
halmashauri,waganga wakuu wa wilaya mkoani Pwani,jana.(Picha na Mwamvua
Mwinyi)
……………..
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais-TAMISEMI,Selemani Jafo,amesema mkoa wa Pwani umepokea Bil.2.340
zitakazotumika kugawanywa kwenye vituo vya afya na zahanati 234 zilizopo
mkoani hapo ili kuboresha na kutatua changamoto zilizopo.
Amesema fedha hizo zimetolewa
kutoka katika mpango wa malipo kwa ufanisi unaotekelezwa kwa ushirikiano
baina ya bank ya dunia na serikali ya Tanzania kwa kipindi cha miaka
mitano ijayo.
Aidha Jafo amewasihi
wakurugenzi,wenyeviti wa halmashauri na mganga mkuu wa mkoa
huo,kusimamia fedha hizo ili ziweze kuleta tija .
Katika hatua nyingine,ametoa wiki
moja hadi kufikia februari 21 mwaka huu,kwa waganga wakuu wa mikoa
(RMO)na makatibu tawala wa mikoa (RAS)kote nchini,kuhakikisha wanapeleka
account za bank zinazotumiwa katika vituo na zahanati zote.
Alhaj Jafo,aliyasema hayo wakati akizungumza na wakurugenzi na
wenyeviti wa halmashauri pamoja na waganga wakuu wa wilaya mkoani Pwani.
Alisema kati fedha hizo kila zahanati na kituo cha afya kitapatiwa kiasi cha sh.mil 10 ili kuboresha na kutatua kero sugu zilizokuwa zikiwasumbua.
“Kuna zahanati na vituo vya afya
ambavyo havina magodoro,mapaa yamebomoka,,hakuna vyoo huku nyumba za
mganga wa kituo nayo ikiwa haina choo”
“Kuna maeneo mengine hayana hata
vitanda vya kujifungulia,akinamama wanapata shida yaani unahofia
wanaweza kuondoka hata na magonjwa mengine,hivyo kwa mazingira haya
fedha hizi endapo zitatumika kikamilifu zitaondoa matatizo hayo”alisema
Jafo.
Alisema katika miaka iliyopita
fedha hizo zilikuwa hakuna hivyo kutokana na mpango huo
kuanza,wahakikishe wanaleta matokeo chanya kwa kujibu changamoto
zilizokuwa zikiwakabili.
Jafo alisema hatofurahishwa
akisikia mradi huo haujafanikiwa katika mkoa wa Pwani na mikoa mingine 8
ambayo ipo kwenye mradi huo kwa majaribio hapa nchini.
Akizungumzia suala la utoaji
huduma bora za kiafya,alieleza kuwa ni tatizo kubwa na aibu kwani katika
mkoa huo jumla ya vituo 153 vina nyota 0(0 star)kati ya vituo 234
vilivyopo .
Alifafanua kuwa vituo vinavyokosa
star kubwa ndivyo vinavyokosa mapato zaidi kwani endapo hospitali
inafanya vizuri inapata mil.360,kituo cha afya mil.79.8 na zahanati
mil.19.
“Hili ni tatizo la nchi
nzima,niwaombe waganga wakuu wa wilaya na mikoa kusimama
kidete,kuhakikisha mnaondoa hizi 0,sifuri hizi hazina maana ,zinashusha
mapato,kuanzia sasa mfanye juhudi mpate nyota 4 hadi 5”alisema Jafo.
Alimtaka mganga mkuu wa mkoa wa Pwani,dk Beatrice
Byarugaba,kuacha kukaa ofisini badala yake atoke kutembelea vituo na
zahanati mbalimbali ili kujiridhisha na huduma inayotolewa.
Wakati huo huo, Jafo alitoa wiki
moja kwa makatibu tawala wa mikoa na waganga wakuu nchini kupokea
account zote za vituo na zahanati zilizopo kwenye mikoa yao .
Waziri huyo alisema endapo mkoa
wowote utashindwa kutekeleza agizo hilo basi katibu tawala na mganga
mkuu wa mkoa husika watatakiwa kutoa maelezo.
Nae mchumi idara ya afya kutoka
TAMISEMI,Nassoro Shemzigwa,alisema mpango huo unatekelezwa katika mikoa
tisa ikiwemo Pwani,Shinyanga,Mwanza,Simiyu,Geita,Kagera na Mara .
Alielezea kuwa lengo la mradi ni kuboresha huduma za afya ya msingi kuanzia hospital ya wilaya,zahanati na vituo vya afya.
Shemzigwa alisema mpango huo utatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2015/2016 hadi 2020 na utakuwa ni endelevu.
Mwenyekiti wa halmashauri ya
wilaya ya Kibiti,Khatibu Chaurembo,alibainisha wamepokea maagizo na
maelekezo waliyopewa na wataenda kuyafanyia kazi.
Chaurembo aliiomba serikali
kuangalia tatizo la uhaba wa watumishi katika zahanati mbalimbali hasa
maeneo ya vijijini ambako zipo zahanati zenye mtumishi mmoja hivyo
kusababisha huduma kuzorota.
No comments :
Post a Comment