TMA YAWAANDAA WANAHABARI KUPOKEA MWELEKEO MSIMU WA MVUA ZA MASIKA 2017
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza
alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa
mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika
Kibaha, mkoani Pwani.Mkurugenzi
Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza
alipokuwa akifungua warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa
mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika
Kibaha, mkoani Pwani. Kushoto ni Mkurugenzi Huduma za Utabiri TMA, Dk.
Hamza Kabelwa na Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri Mamlaka ya Hali ya Hewa
(TMA), Samwel Mbuya (kulia).Mkurugenzi
Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi akizungumza
leo kwenye warsha ya wanahabari kuhusu mwelekeo wa msimu wa mvua za
masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017. Kushoto Mkurugenzi
Huduma za Utabiri TMA, Dk. Hamza Kabelwa. Tarehe 28 Februari 2017 TMA
inatarajia kutoa taarifa ya utabiri wa mwelekeo wa msimu wa mvua za
masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017.Sehemu
ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa warsha kuhusu
mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei
2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.Sehemu
ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa warsha kuhusu
mwelekeo wa msimu wa mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei
2017 iliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani.Mkurugenzi
Mtendaji wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agness Kijazi (kushoto)
akijibu maswali kwa wanahabari mara baada ya mada mbalimbali
kuwasilishwa.Picha
ya pamoja kwa baadhi ya washiriki wa warsha kuhusu mwelekeo wa msimu wa
mvua za masika kwa kipindi cha mwezi Machi hadi Mei 2017 iliyofanyika
Kibaha, mkoani Pwani.
No comments :
Post a Comment