Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri
Kaguta Museveni baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataija wa
Julius Nyerere,jijini Dar es
Salaam.
Salaam.
Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni akikagua gwaride la heshima mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.
Makamu wa Rais Mama Samia akimkaribisha
Rais wa Uganda,Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege
mapema leo kwa ziara ya siku mbili,anaeshuhudia pichani kati ni Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri
Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
ushirikiano wa Afrika Masharika,Dkt Augustine Mahiga kwa pamoja wakiwa
tayari kumpokea mgeni wao,Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika uwanja wa Ndege kumlaki Rais wa Uganda,Yoweri Museveni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri
Kaguta Museveni wakifurahia vikundi vya ngoma za asili vilivyokuwa
vikiburudisha mara baada ya Rais huyo
kuwasili.
kuwasili.
No comments :
Post a Comment