Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akifungua mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kwa
wafanyakazi wa Taasisi hiyo yanayotolewa na wataalamu kutoka Bodi ya
Ununuzi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi .
Hasa utaratibu katika ununuzi wa
Umma kwa kutumia sheria ya ununuzi wa Umma na kanuni zake ikiwa ni
pamoja na mabadiliko mbalimbali ya sheria ya mwaka 2016
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akifafanua jambo wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya kanuni na
sheria za manunuzi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo yanayotolewa na
wataalamu kutoka Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB).
Washiriki wa mafunzo
ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kutoka Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafuzo yaliyokuwa yanatolewa na
wataalamu kutoka Bodi ya Usimamizi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo
hayo ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi .

Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa
Utafiti na Ushauri PSPTB akitoa mada katika mafunzo hayo yaliyofanyika
leo katika Taasisi ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam.
No comments :
Post a Comment