Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege katika uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017. Mbele yake ni Mkuu wa Itifaki
Balozi Grace Martin.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu Hassan va viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Inspecta Jenerali wa
Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa,
Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa
Afrika leo February 1, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Kaimu Kamishna Jenerali wa
Magereza Dkt Juma Malewa baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Addis Ababa,
Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa
Afrika leo February 1, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu Hassan va viongozi wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea
Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi
za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilsalimiana na baadhi ya wafayanyazi
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam alipowasili akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano
wa Kilele wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017

Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi mikono alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Addis Ababa, Ethiopia, alikohudhuria Mkutano wa Kilele
wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo February 1, 2017
No comments :
Post a Comment