Mkemia Mkuu wa Serikali Profesa Samwel Manyelle akizungumza na waandishi wa habari katika makao
makuu ya taasisi hiyo Ocean Road wakati alipotoa taarifa ya mafunzo kwa
wadau wa wanaoshughulika na mambo ya kemikali kulia ni Bw. Sabanitho
Mtega Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi na Udhibiti Kemikali.
………………………………………………………………………..
Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu
wa Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, imekuwa ikitekeleza moja ya majukumu yake ambayo ni
Sheria Namba 3 ya Udhibiti na usimamizi wa Kemikali za Majumbani na
Viwandani ya
mwaka 2003 . Lengo kuu la Sheria hii ni kulinda afya ya
jamii na mazingira dhini ya kemikali.
Katika kutekeleza Sheria hii,
Wakala hufanya Usajili na ukaguzi kwa wadau wote wanaohusika na kemikali
wakiwemo waagizaji (Importers), Watengenezaji, (Producers)
Wasafirishaji (Transporters), Watumiaji (users), Wanaosafirisha nje ya
nchi (Exporters) au yeyote yule anayehusika na kemikali kwa njia moja
au nyingine. Pia ukaguzi unaohusisha mahali kemikali zinakotumika,
zinakotunzwa au kuhifadhiwa (premises) unafanyika kila wakati.
Aidha, ili kuhakikisha kemikali
zinatumika vema na kwa njia salama bila kuleta madhara kwa jamii na
mazingira, Wakala imekuwa ikiandaa mafunzokwa makundi mbali mbali ya
wadau wa kemikali kulingana na uhitaji wao. Miongoni mwa wadau
waliopatiwa mafunzo hayo ni pamoja na Askari wa Jeshi la Polisi Usalama
barabarani Tanzania Bara, wasimamizi wa shughuli za uzalishaji kwenye
viwanda, wasambazaji na wasafirishaji wa kemikali pamoja na madereva
wanaosafirisha kemikali.Mpaka sasa kwa Kanda ya Mashariki wadau
waliokwisha kupatiwa mafunzo ni 642, na hii ni kuanzia mwaka
2012/13-2016/2017.
Hivyo basi Wakala kupitia Kanda
ya Mashariki (ambayo ni mikoa ya Dar es salaam na Pwani) imeandaa
mafunzo tena kwa makundi yafuatayo:
- Mafunzo kwa ajili ya Wasimamizi wa shughuli zinazohusisha kemikali (Supervisors and Chemical handlers) – Tarehe 21/02/2017- 22/02/2017
- Mafunzo kwa ajili Mawakala wa Forodha (Clearing and Forwading Agents) – Tarehe 23-24/02/2017
- Mafunzo kwa ajili ya Madereva wanaosafirisha kemikali- Tarehe 10-11/03/2017
Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku
mbili kwa kila kundi. Mtu ambaye hajapata mafunzo haruhusiwi kisheria
kufanya kazi zinazohusu kemikali. Kwa sababu hiyo, yeyote anayejihusisha
na kemikali kwa njia yeyote anatakiwa kupitia mafunzo hayo.
Wakala haitaruhusu madau ambaye
hajapitia mafunzo haya kuhusika katika shughuli yoyote ya kemikali iwe
kutumia, kuhifadhi, kusafirisha, kutoa bandarini na hata kuagiza kutoka
nje ya nchi. Ili kutekeleza matakwa ya Sheria ya Udhibiti na Usimamizi
wa kemikali ni vema kuwahi kuhudhuria mafunzo haya ili kuepuka usumbufu
utakaoweza kujitokeza.
Maelezo zaidi kuhusu mafunzo haya
yanaweza kupatika katika Tovuti ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa
Serikali ambayo ni www.gcla.go.tz
Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu
wa Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, imekuwa ikitekeleza moja ya majukumu yake ambayo ni
Sheria Namba 3 ya Udhibiti na usimamizi wa Kemikali za Majumbani na
Viwandani ya mwaka 2003 . Lengo kuu la Sheria hii ni kulinda afya ya

Serikali ambayo ni www.gcla.go.tzv
No comments :
Post a Comment