Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi
wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Yuri
Fedorovich Popov alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni
wake Balozi wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe,Yuri Fedorovich Popov alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
asubuhi,
[Picha na Ikulu.] 23 /02/2017.
No comments :
Post a Comment