Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiongoza kikao kati yake na Maofisa wa Magereza kutoka makao Makuu
ya Magereza , pamoja na Makamanda wa Magereza wa Mikoa yote nchini,
ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza, Dr Juma Malewa baada
ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza
kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Katikati
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani Meja Jenerali Projest
Rwegasira.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Kamishina Mwandamizi wa Magereza na Mkuu wa Magereza wa
Mkoa wa Lindi, Tusikile Mwaisabira baada ya kikao chake na Maofisa wa
Magereza kutoka Makao ya Magereza na Maofisa Magereza wa Mikoa,
kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Magereza Wanawake
baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza
kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia
kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na Watalaamu na Wasimamizi wa Mkiradi ya
Jeshi la Mgereza, baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka
Makao ya Magereza na Wakuu wa Magereza wa Mikoa kilichofanyika Ofisini
kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment