Monday, February 13, 2017

WAJASIRIAMALI WA GO BIG KUANZISHA KIJIJI CHA MAENDELEO


LUKA
Wajasiriamaliwaundaomtandaowamaendeleowa GO BIG yaani “GO BIG DEVELOPMENT NETWORK” wanatarajiakukusanyazaidiyakiasi cha shilingimilionimiambilinahamsini (250) ilikuanzishakijiji cha mfano. Kijijihichokinatarajiwakuanzishwamwishonimwamwakahuunakitahusishashughulimbalimbalizawajasiriamalihao.
LUKA 1
Mgenirasmi, Bw.Davidkutokashirika la nyumba la taifa (NHC) kamaMkurugenziwakitengo cha uwekezajiakiwahamasishawajasiriamaliwa GO BIG. Kulianimleziwawajasiriamalihao, Bw.AndrewMhinanaKushotoniBi.NancyMsangi, makamumwenyekitiwaumojahuo
LUKA 2
“Ni lazimatuwevijanawamfano, tuwewajasiriamaliwamfanosiokwamanenobalikwavitendonatuwekeniasasayakuanzishakijijihikikitakachotusaidiasisinakuinuauchumiwanchiyetu.”,alisema Bwana MeshackMagangaambayenimmojawawaanzilishiwaumojahuowawajasiriamaliwa GO BIG.
LUKA 3
Waanzilishiwaumojawa GO BIG, Bwana MeshackMagangaakiwana Bwana Mwimba Philemon ambayepianimwekahazinawaumojahuo (PichanaNaamala Samson)
AkichangiakatikasherehezakutimizamwakammojawaumojahuozilizofanyikaVikindunjekidogoyajiji la Dar Es Salaam mnamomwanzonimwamwakahuu, mmojawawalezi, Bwana Andrew Mhinaaliwaambiawajasiriamalihao, “nduguzangu, wakatinihuuambapotukianzishakijiji cha mfano cha ‘GO BIG VILLAGE’, watututawezakulimahumo, kufuga, kuzalishabidhaakwawinginakwauborakukidhisiotusoko la ndanibalina la nje”. Aliongezeakwakusemakuwawatatumiakijijihichokuongezaajiranakujengataifa la watukuwawabunifuzaidi.

No comments :

Post a Comment