Daktari
Bingwa wa magonjwa ya macho Dk. Mustafa Yusufali akimpima macho,
Alphonce Joseph mmoja wa wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya 18 ya
Kumbukizi ya Hayati Prof. Hubert Kairuki, ambapo upimaji wa awali wa
afya ya macho umefanyika kuanzia Februari 3-4 kwa gharama za hospitali
hiyo pamoja na utoaji wa miwani ya kusomea na upasuaji mdogo bure.
Daktari
Bingwa wa magonjwa ya macho Dk. Mustafa Yusufali akimpima macho,
Alphonce Joseph mmoja wa wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Kairuki
Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya 18 ya
Kumbukizi ya Hayati Prof. Hubert Kairuki.
Muuguzi
wa Hospitali ya Kairuki Mikochezni jijini Dar es Salaam, Athuma
Makolela akichukua maelezo ya mmoja wa wagonjwa wa macho waliofika
hospitalini hapo kupata huduma zilizokuwa zikitolewa kwa gharama za
hospitali hiyo.
Dk. Kenneth Munanu akimpima macho mgonjwa aliyefika katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Wananchi
wakipata hudumza za matibabu ya Afya ya Macho katika hospitali ya
Kiruki Mikocheni. Huduma hizo zimegharamiwa na hosptali hiyo.
Wagonjwa wakisubiri kupata huduma.
Mgonjwa akipima macho.
No comments :
Post a Comment