Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo (kushoto) akiongoza kikao kazi na wasimamizi wa miradi ya
nishati kilichofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 03 February, 2017
lengo likiwa ni kujadili maendeleo na changamoto za miradi hiyo.
Sehemu ya wasimamizi wa miradi na
watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa
Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana
Pallangyo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Sehemu ya wasimamizi wa miradi na
watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa
Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani)
Kutoka kushoto, Milka Digha,
Alika Ilomo na Costa Mosha kutoka Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya
Nishati na Madini wakinukuu maelekezo mbalimbali yaliyokuwa yanatolewa
katika kikao hicho.
No comments :
Post a Comment