Rais wa Chama cha Wanasheria
Zanzibar (ZLS) Omar Said Shaaban akizungumza na wanachama wa chama hicho
(hawapo pichani) katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku moja uliofanyika
Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar
Ibrahim Mzee akiwasilisha mada ya mwenendo wa kesi za makosa ya jinai
katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Zanzibar uliofanyika Ukumbi
wa Sanaa Rahaleo.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha
wanasheria Zanzibar wakifuatilia Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku moja
katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mwanasheria wa siku nyingi na
mwanachama wa chama cha wanasheria Zanzibar Nassor Khamis akitoa mchango
wake kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo
Zanzibar.
Rais wa Chama cha Wanasheria
Zanzibar Omar Said Shaaban akizungumza na waandishi wa habari baada ya
kumalizika Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku moja katika Ukumbi wa Sanaa
Rahaleo.
Picha na Makame Mshenge.
No comments :
Post a Comment